×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Elimu yaathirika katika shule za eneo la kaskazini mashariki kufwatia kutorejea kwa walimu

7th February, 2016

Wengi wameonekana kunyamazia kampeni ya kutaka serikali kurejesha walimu katika shule zilizoko eneo la kaskazini mashariki mwa Kenya. Lakini kwa hakika ni kwamba bado uhaba wa waalimu unaendelea kuzikandamiza shughuli za masomo eneo hilo. Mojawapo ya shule inayoathirika sana ni ile ya upili ya Dadaab ambapo walimu 14 bado hawajarejea. Mbunge wa eneo hilo Mohamed Dahiye anasema hio ni dhulma na anahofia wanafunzi wanaoacha masomo kuchanganywa akili na makundi ya kigaidi hususan kambi za wakimbizi. Hamza Yussuf alirejea kutoka Dadaab na anatupasha taarifa ifwatayo…
.
RELATED VIDEOS