Rais Uhuru Kenyatta atangaza kurejea kwa mpango wa kuwapa vijana ajira
7th February, 2016
Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa mpango wa kuwapa vijana ajira kupitia huduma kwa vijana utarejea tena baadaye mwezi huu. Rais Kenyatta ambaye alizuru jiji la Kisumu kwa mara ya sita tangu awe rais anaaminika kutaka kueneza umaarufu wa chama cha Jubilee, katika ngome za upinzani. Victor ogalle na maelezo zaidi.