x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Aliyekuwa waziri wa Mipango na Ugatuzi Anne Waiguru aondolewa mashtaka na tume ya EACC

07, Feb 2016

Tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC imesema kuwa haina ushahidi kwa kumshtaki aliyekuwa waziri wa Mipango na Ugatuzi Anne Waiguru. Waiguru ambaye sasa anadaiwa kutaka kuwania wadhifa wa ugavana wa kaunti ya Nairobi, alikabiliwa na madai ya ubadhirifu wa fedha katika wizara ya ugatuzi pamoja na sakata iliyoikumba idara ya huduma kwa vijana, NYS. Mwanahabari Hussein Mohammed ametuandalia taarifa hiyo kwa kina

POPULAR NEWS VIDEOS


RELATED VIDEOS


Feedback