×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Kauli ya wana CORD kuhusu Jaji Tunoi

6th February, 2016

Wanasiasa katika muungano wa cord wametoa kauli mbalimbali kuhusiana na sakata ya rushwa inayohusishwa na jaji wa mahakama ya juu zaidi Phillip Tunoi. Seneta wa Bungoma Moses Wetangula na mbunge wa Kiminini Chris Wamalwa wamesema kuwa watamuunga mkono jaji Tunoi ikiwa watatambua kuwa anasingiziwa. Naye mkurugenzi wa uchaguzi wa ODM ambaye ni mbunge wa suna mashariki Junet Mohamed amesema kuwa hivi karibuni cord itafichua maovu katika idara ya mahakama.
.
RELATED VIDEOS