x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Bandari watwaa taji la Super Cup

06, Feb 2016

Anthony Kimani alifunga bao la pekee lilowapa bandari ushindi dhidi ya gor mahia na kutawazwa mabingwa wa kombe la super cup katika mechi iliyochezwa uwanjani mbaraki mjini Mombasa. Mechi hiyo ambayo inaashiria mwanzo wa msimu mpya nchini ilikuwa kati ya mabingwa wa ligi kuu na wale wa ngao ya gotv.

RELATED VIDEOS


Feedback