Mtu anayedaiwa kuwa mchungaji ambaka msichana mwenye akili taahira
6th February, 2016
Wakazi wa mji wa Kitengela wamewataka maafisa wa polisi kumtia nguvuni bwana mmoja wa eneo hilo anayejulikana kama mchungaji wa kanisa aliyembaka msichana aliye na akili taahira . Kulingana na mtoto huyo jamaa huyo alimfungia nyumbani mwake na kumfanyia kitendo hicho halafu kumtishia kumuua iwapo angemshtaki .