x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

UFANISI MITAANI: Kijana aliyekuwa akirandaranda apata maki 423 KCPE

05, Feb 2016

Je watoto wa kurandaranda wanaweza kutumia nafasi yao katika jamii kujinufaisha? Maswali haya yanapata jawabu kupitia kijana mmoja aliyekamilisha masomo yake ya msingi mwaka jana na kupata maki 423 katika mtihani wa kitaifa wa KCPE. Aidha tunaarifiwa kwamba kijana huyo amepata ufadhili na kujiunga na shule ya upili ya Starehe.

RELATED VIDEOS


Feedback