Eunice Sum bingwa wa dunia ajiandaa kwa olimpiki makala ya 2016
4th February, 2016
Bingwa wa dunia makala ya 2013, Eunice Sum ana matumaini ya kuandikisha matokeo ya kuridhisha haswa kwenye michezo ya olimpiki jijini Rio Brazil baadaye mwaka huu. Licha ya kukosa kutetea taji la dunia mwaka uliopita Sum anasema kuwa msimu wa mwaka wa 2015 ulikuwa wa kufana.