×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Serikali ya kaunti ya Elgeyo Marakwet kuzindua rasmi mbuga ya wanyama ya Rimoi

2nd February, 2016

Serikali ya kaunti ya Elgeyo Marakwet imetangaza kuzinduliwa rasmi kwa mbuga ya wanyama ya Rimoi. Mbuga hiyo itakayozinduliwa rasmi tarehe 11 mwezi ujao ni moja wapo ya njia za kuwakaribisha watalii katika kaunti hiyo . Gavana wa Elgeyo Alex Tolgos ameitaja kaunti hiyo kuwa yenye raslimali za kutosha kuwavutia watalii wa humu nchini na kimataifa . Tolgos alikuwa akizungumza alipozuru makao makuu ya standard group ambapo amekutana na afisa mkuu mtendaji Sam Shollei .
.
RELATED VIDEOS