x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Wanaharakati wa haki waolaumu serikali ya Jubilee kwa kuendeleza njama za kuiharibu katiba mpya

01, Feb 2016

Wanaharakati wa haki na baadhi ya wabunge wa CORD wamesema serikali imekuwa ikiendeleza njama za kuiharibu katiba mpya. Wakizungumza kwenye kikao cha shirika la jamii la K.A.R.A hapa jijini Nairobi wanaharakati John Githongo na mbunge wa Ruaraka Tom Kajwang ambaye pia ni mwanachama wa kamati ya masuala ya haki na sheria bungeni, wamesema serikali imekuwa ikianzisha sheria zinazopunguza makali ya katiba mpya .

RELATED VIDEOS


Feedback