x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Pingu za fahari: Jinsi Wasamburu wanavyo tia saini ya daima ya ndoa

31, Jan 2016

Miongoni mwa Wasamburu cheti cha serikali sio ithibati ya ndoa kati ya watu wawili. Mtu hutambuliwa na jamii nzima kuwa ameoa ipasavyo kupitia utamaduni wa kumdunga fahali kisu shingoni na kumchinja. Damu ya fahali huyo itanywewa na nyama yake kuliwa ikiwa ndio saini ya daima ya ndoa kufungwa… Lofty Matambo na mengi zaidi katika sehemu ya pili ya pingu za fahari

RELATED VIDEOS


Feedback