Mwanamme amuua mkewe kwa madai ya jicho la nje mjini Kiambu
31st January, 2016
Tunaanza taarifa zetu kwa mkasa wa kinyumbani ambapo mwanamume mmoja katika kaunti ya Kiambu amemuua mkewe na kujitia kitanzi akidai mke ana jicho la nje. Kisa hicho kimeripotiwa katika eneo la Gatundu Kaskazini. Tukio hilo limewaacha wakaazi wa eneo hilo na maswali si haba kuhusu chimbuko la swala zima,Hussein Mohammed anaarifu