×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mhudumu mmoja wa timbo za mawe akwama kwenye timbo baada ya maporomoko Tigania Mashariki

31st January, 2016

Mhudumu mmoja wa timbo za mawe katika eneo la Tigania Mashariki angali amekwama kwenye timbo ya eneo la chalulu kufuatia mkasa wa kuporomoka jiwe katika timbo hiyo. Aidha wachimbaji watatu wa mawe waliepuka na majeraha huku mmoja akikimbizwa hospitalini.
.
RELATED VIDEOS