Kero la wanyama pori Taita Taveta
30th January, 2016
Wabunge katika kaunti ya Taita Taveta na wawakilishi wa wadi waliondoka katika mkutano wa waziri wa mazingira Profesa Judy Wakhungu wakidai ameshindwa kusuluhisha tatizo la wanyama pori kuvuruga mashamba ya wenyeji. Viongozi hao wanasema waziri alifaa kuzungumzia suala la uharibifu wa mimea na badala yake alizamia suala la misitu Taita Taveta,