×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mzozo umeibuka kuhusu kufungwa kwa bandari ya Mombasa

29th January, 2016

Biashara ya mabohari ya kuhifadhi bidhaa mbalimbali katika bandari ya Mombasa ni maarufu mno. Hata hivyo serikali katika siku za hivi karibuni imekuwa ikiagiza kufungwa kwa baadhi ya biashara hizo kwa sababu mbalimbali, moja wepo ni kuhakikisha kuwa hazihifadhi bidhaa za magendo. Hata hivyo kufungwa kwa biashara ya kampuni ya auto port freight terminal kumeibua siasa kali.
.
RELATED VIDEOS