Wakaazi wapoteza kazi baada ya Kituo cha kupokea mizigo kufungwa Mombasa
28th January, 2016
Utata umezuka kuhusiana na kufungwa kwa kituo cha kupokea mizigo cha auto ports freight terminal mjini Mombasa. Hatua hiyo imesababisha watu wengi kukosa ajira huku wasimamizi wakihusisha kitendo hicho na siasa