Maiti yafukuliwa kisii baada ya mahakama kutoa agizo
28th January, 2016
Wakaazi wa kijiji cha Eronge kaunti ya Nyamira walistaajabishwa na kisa kimoja ambapo mwili wa mwanamke ulifukuliwa wiki moja baada ya kuzikwa. Hatua hii ilifikiwa baada ya babake marehemu kudai kuwa bintiye hakulipiwa mahari na vile vile chanzo cha kifo hakikubainika.