×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Uhuru akutana na rais wa Nigeria Muhammadu Buhari

28th January, 2016

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ambaye yumo nchini katika ziara rasmi ya siku tatu alifanya mazungumzo na rais Uhuru Kenyatta katika ikulu ya Nairobi mapema hii leo. Mazungumzo yao ambayo yaliwahusisha maafisa wa serikali hizo mbili yalijikita katika mbinu za kuboresha uhusiano wa kidiplomasia na biashara kati ya Kenya na Nigeria ambayo inatambulika kwa rasilmali kubwa ya mafuta. Vivyo hivyo rais Uhuru Kenyatta aliangazia suala la Kenya na Nigeria kukabili tatizo la ugaidi ambalo limeathiri nchi hizi mbili.
.
RELATED VIDEOS