Kenya ni miongoni mwa mataifa 30 yenye ufisadi mno Ulimwenguni
27th January, 2016
Kenya ni miongoni mwa mataifa 30 fisadi mno Ulimwenguni. Shirika la Transparency International limetoa ripoti yake kuhusu ufisadi mwaka 2015 na kuorodhesha kenya kati ya nchi zenye uozo huo.