Marais wa Nigeria na Somalia waungana na Wakenya kuwakumbuka wanajeshi waliouwawa na Al Shabaab
27th January, 2016
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na Hassan Sheikh wa Somali wameungana na rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika chuo cha mafunzo ya jeshi cha Moi huko Eldoret kuwakumbuka wanajeshi wa Kenya walioaga huko El-Adde Somalia. Marais hao wamemhakikishia Wakenya kuwa mataifa ya Nigeria na Somalia vile vile yanaendeleza vita dhidi ya ugaidi….