Gavana wa Kisii James Ongwaye afanya kikao na afisa mkuu wa STD Group Sam Shollei
26th January, 2016
Kaunti ya Kisii iatakuwa miongoni mwa kaunti zinazoipa biashara na ujasiri amali kipau mbele. Kulingna na gavana James Ongwaye laiyelitembelea shirika la Standard Group na kufanya kikao na afisa mkuu mtendaji w ashirika hilo Sam Sholea , kongamano la ujasiri amali linaratibiwa mwaka huu mwa 2016.