x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Familia ya mwanajeshi wa KDF yaingiwa na hofu baada ya mawasiliano naye kukatika ghafla

25, Jan 2016

Familia moja huko Loitoktok kaunti ya Kajiado imejitokeza kudai kuzungumza na mwanao mmoja wao siku ya Jumamosi wiki moja baada ya shambulizi la al-Shabaab dhidi ya wana KDF Somalia. Bwana huyo ni mmoja wa maafisa wa KDF walionusurika mikononi mwa wana al-Shabaab sasa wanadai mawasiliano yamekatika gafla na wana wasiwasi mwingi wasijie aliko jamaa yao.

Feedback