x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Elly Ajowi na Nick Okoth wateuliwa kuwakilisha Kenya katika mashindano ya ndondi

24, Jan 2016

Elly Ajowi pamoja na Nick Okoth ni mojawapo ya bondia kumi ambao walichaguliwa kwenye timu ambayo itaiwakilisha kenya katika mashindano ya ndondi ya kujikatia tiketi ya kushiriki mashindano ya Olimpiki.timu hiyo inatarajiwa kambini baada ya wiki moja kwa ajili ya kupamba mazoezi. Mashindano hayo yataandaliwa mjini yaunde Cameroon.

RELATED VIDEOS


Feedback