×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Aliyekua mfungwa kwa miaka 27 afunga ndoa

24th January, 2016

Baada ya kuhudumu kifungo kwa muda wa miaka 27 jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 52, ameamua kuhalalisha ndoa yake na mpenziwe aliyekuwa amemuacha nyumbani kufuatia kifungo. Joseph Charles Kinyua kutoka kaunti ya Nakuru, alikuwa amehukumiwa kifungo cha maisha kwa wizi wa mabavu. Na kama anavyoarifu Kamche Menza Kinyua ameachiliwa huru kufuatia msamaha wa rais.
.
RELATED VIDEOS