Hofu yatanda Murang’a baada ya jeneza kupatikana mlangoni mwa nyumba ya mwenyeji
24th January, 2016
ofu imetanda katika kijiji cha Kaguthi, eneo bunge la Kandara kaunti ya Murang’a baada ya wenyeji kuamkia jeneza mlangoni mwa nyumba ya mmoja wao. Na kama anavyoarifu Lofty Matambo baadhi ya wenyeji wanataka tambiko ifanywe kuondoa nuksi katika boma la bwana James Mwangi.