x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Kashfa ya Eurobond: Kiongozi wa Cord Raila Odinga ampongeza Keriako Tobiko

23, Jan 2016

Kiongozi wa muungano wa CORD Raila Odinga ameipongeza hatua ya mkurugenzi wa mashtaka nchini kenya Keriako Tobiko kuagiza kufunguliwa tena kwa faili zinazoambatana na ile kashfa ya Eurobond ili waliofaidi watajwe. Akizungumza katika kaunti ya Vihiga kwenye hafla ya mazishi, Raila amesema hilo likifanyika litaondoa utata wote unaozingira sakata hiyo. Seneta wa Vihiga George Khaniri, na aliyekuwa spika wa bunge Kenneth Marende ni kati ya waliohudhuria hafla hiyo.

Feedback