Kauli ya Mkuu wa majeshi Samson Mwathathe kuhusu idadi ya wanajeshi
21st January, 2016
Mkuu wa majeshi Samson Mwathethe Itakuwa vigumu kupata idadi kamili ya wanajeshi waliouawa. Mwathethe aliyasema haya katika kikao na wanahabari hii leo mchana katika makao makuu ya jeshi. Kwa matamshi yake huenda idadi ya wanajeshi waliouawa ikazidi kuongezeka huku masuala ya mateka yakionekana kupewa kisogo.