×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gavana wa Embu Martin Wambora apiga marufuku kuuzwa kwa kahawa kutoka kaunti hiyo

18th January, 2016

Gavana wa kaunti ya Embu Martin Wambora amepiga marufuku ya kuuzwa kwa buni au ukipenda kahawa ambayo haijatayarishwa nje ya kaunti ya Embu. Hatua amesema inachukuliwa kuwakinga wakulima wa kahawa kaunti ya Embu dhidi ya wanunuzi wanaowapunja pesa zao,kwa kununua buni kwa bei nafuu.
.
RELATED VIDEOS