Zaidi ya wanajeshi 15 waliojeruhiwa kwenye shambulizi Somalia waliwasili Kenya
18th January, 2016
Zaidi ya wanajeshi 15 waliwasili mchana wa leo kutoka nchini Somalia wakiwa miongoni mwa wale waliojeruhiwa kwenye shambulizi la kigaidi katika kambi ya KDF katika eneo la El-gedde Jubaland.