×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Majeruhi wanne wawasili mjini Nairobi kwa matibabu kutoka Wajir

17th January, 2016

Zaidi ya wanajeshi themanini imma wamefariki au wamejeruhiwa katika shambulizi lililofanyika katika kambi ya wanajeshi wa Kenya na wale wa Somalia nchini humo. Haya ni kulingana na Waziri Wa Ulinzi Rachelle Omamo aliyefika pamoja na mkuu wa wanajeshi Jenerali Samson Mwathethe kuwapokea majeruhi wanne waliosafirishwa kutoka wajir kwa matibabu ya ziada. Kukiwa kumesubiriwa miili na wala sio majeruhi. Je, huenda kuwa tunahadaiwa kwa mara nyingine?
.
RELATED VIDEOS