×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Rais Uhuru awahakikishia viongozi wa kidini kuwa serikali itaheshimu uhuru wa kuhubiri

17th January, 2016

Rais Uhuru Kenyatta amewahakikishia viongozi wa makanisa kuwa serikali yake itaheshimu uhuru wa kuhubiri. Hatahivyo amekariri kuwa ni sharti makasisi na maaskofu matapeli waondolewe katika jamii. Ameyasema hayo mjini malindi ambapo mwenyeji wake gavana wa kilifi amason kingi amewataka wanasiasa kutofautisha hafla za uhuru kenyata kama rais na kama kiongozi ili kuchipuka kwa cheche za siasa. John Juma na ripoti kamili
.
RELATED VIDEOS