Mama ataka kuuza mtoto wake kwa madai kua mumewe hamtaki.
15th January, 2016
Mwanamke mmoja amezua mshangao na masikitiko katika mtaa mmoja mjini Nakuru alipowasili na mtoto mchanga akitaka kumuuza. Mwanamke huyo amesema kuwa mumewe hamtaki mtoto huyo. Mwanamke huyo anayearifiwa kutoka eneo la Mau Narok amedai kuwa awali mumewe alimuua mtoto wake mchanga alipokuwa amemwacha nyumbani.