×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Nakala ya Afya ya Wakenya imezinduliwa kirasmi

14th January, 2016

Nakala ya ripoti inayoonyesha hali ya afya kwa ujumla ilivyo miongoni mwa wakenya ya mwaka 2014 imezinduliwa rasmi hii leo..dhamira yake ni kuonyesha endapo maambukizi ya maradhi kama vile ukimwi, upangaji uzazi, afya ya akina mama na watoto na vifo vinavyoambatana na afya ya aina hii. Wanawake wametajwa kushiriki pakubwa katika kupatikana kwa takwimu hizi ikilinganishwa na wanaume.
.
RELATED VIDEOS