x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Naibu wa Rais William Ruto ajitetea katika Mahakama ya ICC

14, Jan 2016

Ni siku ya tatu katika mahakama ya icc ambapo wakili wa naibu wa rais William Ruto anaendelea kutoa sababu za ni kwanini kesi hizo zinapaswa kutupuliwa mbali. Kareem khan ameulaumu upande wa mashtaka kwa uchunguzi finyu hivyo basi kuacha baadhi ya mambo muhimu licha ya kusisitiza kuwa hata wao wana ufahamu kuwa kesi hiyo haina mwelekeo.

RELATED VIDEOS


Feedback