KIU CHA MALI: Wajane wa Kihika wameshtumu binti
14th January, 2016
Mali inayokadiriwa kuwa ya thamani ya shilingi milioni 15 ambayo inadaiwa kuibwa kutoka shule moja inayomilikiwa na familia ya mwanasiasa mashuhuri marehemu kihika kimani, imepatikana. Hapo janamzozo uliibuka kati ya wajane 7 wa marehemu kihika na mjane mmoja ambaye ni mamaye spika wa kaunti ya nakuru susan kihika.