×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Raila Odinga yaangusha shoka la Eurobond kwa kutaja wahusika wakuu

14th January, 2016

Baada ya ngoja ngoja ya muda hatimaye kiongozi wa cord raila ametoa orodha ya majina ya watu wanane anaodai ni wahusika wakuu kwenye sakata ya eurobond. Waziri wa fedha henry rotich, katibu wa fedha dkt kamau thugge na mwenyekiti wa benki kuu mohammed nyaoga ni miongoni mwa wanane hao.
.
RELATED VIDEOS