x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Aliyekuwa Waziri Joseph ole Lenku atangaza nia ya kuwania Ugavana wa Kajiado

13, Jan 2016

Aliyekuwa Waziri wa Usalama Joseph ole Lenku ametangaza nia ya kuwania kiti cha Ugavana wa kaunti ya Kajiado. Wengi wamekuwa wakiuliza alikokwenda waziri lenku baada ya kutumikia serikali ya jubilee kwa zaidi ya mwaka mmoja hivi. Aidha msimamo wake umeleta msisimko wa siasa katika kaunti ya kajiado. Nick wambua anaarifu.

RELATED VIDEOS


Feedback