Aliyekuwa msajili mkuu wa mahakama Gladys Shollei afika mahakamani kujibu mashataka
12th January, 2016
Aliyekuwa msajili mkuu wa mahakama Gladys Boss Shollei alifika mahakamani hivi leo kujibu mashataka yanayomkabili ya utumizi mbaya wa mamlaka afisini.