Kikao cha kutathmini hatma ya kesi ya naibu rais William Ruto na Joshua arap Sang chaanza
12th January, 2016
Kikao cha kutathmini hatma ya kesi ya naibu wa rais William Ruto na mwanahabari Joshua arap Sang kimeanza rasmi leo. Upande wa mashtaka umetumia muda mwingi kupinga ombi la ruto kwa kuelezea ni kwa nini kesi zafaa kuendelea.. Aidha kesho itakuwa ni awamu ya mawakili wa ruto na sang kuwathibitishia majaji ni kwa nini kesi yafaa kutupwa.