×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

ELIMU NA TAALUMA: Idadi ya wanafunzi wa kiume katika eneo la Loitoktok imekuwa ikipungua

11th January, 2016

Idadi ya wanafunzi wa kiume kwenye shule nyingi katika eneo la Loitoktok imekuwa ikipungua huku wavulana wengi wakijumuika kwenye itikadi za kale mfano umorani . Kwenye matokeo ya mtihani wa kcpe ya mwaka jana imeibuka kwamba katika shule nyingi za eneo wasichana ndio waliibuka wanafunzi bora. Ndilo suala ambalo tunaangazia kwenye makala yetu maalum elimu na taaluma jumatatu hii.kumbuka leo ikiwa jumatatu ilivyo desturi tunaangazia masuala ya elimu ambapo tutatahmini suala hilo kwa kina.
.
RELATED VIDEOS