Shughuli za masomo zimeaanza rasmi leo katika Chuo cha Garissa
11th January, 2016
Shughuli za masomo zimeaanza rasmi leo katika Chuo cha Garissa wanafunzi wameingia darasani majira ya saa mbili asubuhi huku wahadhiri wakianza kufunza masomo tofauti tofauti.