Naibu Rais William Ruto amewasili Hague kuhudhuria kikao cha kupata mwelekeo
11th January, 2016
Naibu Rais William Ruto amewasili Hague uholanzi kuhudhuria kikao cha kupata mwelekeo wa majaji kuhusu hoja aliyowasilisha kuomba kesi dhidi yake itupiliwe mbali. Ruto alisindikizwa na zaidi ya wabunge 50. Na kama anavyoripori mwanahabari francis mtalaki ni kuwa hili ndilo jaribio la mwisho la ruto kufahamu iwapo kesi yake itatupiliwa mbali au la.