×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Familia moja katika eneo la Othaya yapata mwili wa binti yao kwenye kisima

11th January, 2016

Familia moja katika eneo la Othaya imekumbwa na majonzi baada ya kuupata mwili wa binti yao mwenye umri wa miaka 17 kwenye kisima. Mwili huo ulikuwa na majeraha yanayoashiria kwamba huenda alibakwa kabla kuuawa. Nyanyaye binti huyo amesema alimwacha na mjakazi wa nyumbani siku ya jumapili na kwenda kanisani na akirejea hakumwona tena.
.
RELATED VIDEOS