×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wanaogombea useneta Kericho kwa tiketi ya Jubilee wapinga uteuzi wa atakaye peperusha bendera

10th January, 2016

Mchakato wa uchaguzi mdogo wa wadhfa wa useneta katika kaunti ya Kericho umechukua mkondo mwingine baada wagombeaji wa kiti hicho kwa tiketi ya chama kipya cha Jubilee kufutilia mbali wito wa aliyekuwa seneta Charles Keter kwamba mashauri yafanywe kumteuwa mpeperushaji bendera ya Jubilee
.
RELATED VIDEOS