Afisa wa polisi adaiwa kumuua jamaa usiku wa Krismasi eneo la Kilgoris
10th January, 2016
Familia moja katika eneo la Kilgoris inataka haki baada ya madai ya afisa wa polisi kumuua jamaa yao usiku wa Krismasi , marehemu amezikwa huku waombolezaji wakitaka suluhu ya haraka kwa mkasa huo.