Mbona vijana wa siku hizi wanashiriki ndoa fiche bila ufahamu wowote wa wazazi
9th January, 2016
Mtazamaji, imeibuka kwamba vijana wa siku hizi wanashiriki ndoa fiche, bila ufahamu wowote wa wazazi kisha tatizo linapotokea mzazi ndiye hubeba mzigo mzima wa uchungu na maumivu ya moyo. Vijana hawa hata hupata vyeti vya ndoa wakiwa wameficha shughuli ya ndoa kwa wazazi au hata marafiki…lakini hatari zake ni zipi?