Vyombo vya habari kuzuiwa kupeperusha vipindi vya mahubiri ambapo waumini wanaitishwa fedha
8th January, 2016
Vyombo vya habari huenda vikajipata taabani iwapo vitapeperusha vipindi vya mahubiri ambapo waumini wanaitishwa fedha. Haya ni kwa mujibu wa maagizo mapya ya mamlaka ya mawasiliano nchini…. Vyombo vya habari vimepewa miezi sita kuratibu matangazo vyema kabla kuanza kutumika mwezi juni.