x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Je, sharia mpya inayopiga marufuku mazungumzo ya ngono inahujumu uhuru wa vyombo vya habari?

08, Jan 2016

Mojawapo ya sheria mpya katika mwongozo wa kuthibiti vyombo vya habari imepiga marufuku mazungumzo ya ngono katika vituo vya redio wakati wa mchana ,. Hii ni miongoni mwa sheria nyenginezo baadhi ambazo kulingana na washikadau wa vyombo vya habari zinatisha uhuru wa vyombo vya habari nchini Kenya.

Feedback