x News The Standard Digital KTN Prime KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News BTV KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS Tutorsoma Digger Classified The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
x
x

Matamshi ya mwanasiasa Suleiman Shabal kwamba Jubilee itaiba kura 2017 yaibua tetesi kali

06, Jan 2016

Matamshi ya mwanasiasa wa Pwani Suleiman Shabal mbele ya naibu rais majuzi kwamba chama tawala kiko tayari kuiba kura ili kushinda tena uchaguzi hatimaye yameibua hatua kutoka vyombo vya serikali. Mkuu wa mashtaka ya umma amewaagiza makachero wa CID kumtia nguvuni shabal na kumhoji.

Feedback