×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mfadhili atoa matiti bandia kuwapa moyo waathiriwa wa saratani ya matiti Kirinyaga

4th January, 2016

Ni dhahiri kuwa mwanamke huthamini matiti yake. Aidha siku hizi inaaminika kwamba viungo hivyo muhimu ndivyo vinavyomtambulisha mwanamke kwenye jinsi ya kike. Kwa hivyo mtu anapojipata akiugua saratani ya titi na kulazimika kufuata ushauri wa daktari wa kukatwa titi hilo au yote mawili, Wengi husikitika..mwanamke mmoja anayeishi barani Ulaya amerejea katika eneo la Kirinyagah na mradi wa kutoa matiti bandia angalau kuwapa moyo waathiriwa wa kensa ya matiti.
.
RELATED VIDEOS